Acha mbwembwe tuthamini vya nyumbani, isitoshe huu ni mwanzo tutafika level hizo one day...Hello guys,
Hizo tuzo za eatv zingetakiwa zifanane kama zile tuzo za bet, au Grammy, I mean kuwe na mascreen makubwa, stage zinazobadilika, pamoja na ukumbi mkubwa wa kukaa thousands of people, nashangaa ukumbi unaotumika ni wa mlimani city
Sijaona kipya kwenye hii eatv awards ya mwaka huu labda waimprove mbeleni...
Hahaha dahBado utakuta video quality low kabisa sijui watatumia camera ya tecno p3
Mkuu labda wewe ulipenda ukumbi gani utumike?Hello guys,
Hizo tuzo za eatv zingetakiwa zifanane kama zile tuzo za bet, au Grammy, I mean kuwe na mascreen makubwa, stage zinazobadilika, pamoja na ukumbi mkubwa wa kukaa thousands of people, nashangaa ukumbi unaotumika ni wa mlimani city
Sijaona kipya kwenye hii eatv awards ya mwaka huu labda waimprove mbeleni...
Ivi zile kumbi bongo zipo??????Hello guys,
Hizo tuzo za eatv zingetakiwa zifanane kama zile tuzo za bet, au Grammy, I mean kuwe na mascreen makubwa, stage zinazobadilika, pamoja na ukumbi mkubwa wa kukaa thousands of people, nashangaa ukumbi unaotumika ni wa mlimani city
Sijaona kipya kwenye hii eatv awards ya mwaka huu labda waimprove mbeleni...
Labda alitaka uwanja wa taifa.Mkuu labda wewe ulipenda ukumbi gani utumike?
Hahaha....we chalii, wachagga tena???Wachaga tangu lini wakarun Burudani??? Since when????
Maswali mazuri sanaMkuu labda wewe ulipenda ukumbi gani utumike?
Ivi zile kumbi bongo zipo??????