Hii Dawa ya Ciprofloxacin iangaliwe vizuri naona kama ina Maajabu yake

Wanaiita Zindolin, kuna siku nilipimwa nikakutwa na typhod ile kuandikiwa nikanywa kidogo nikapona ila vidonge nikaviweka bila kujua

Siku nimeenda kijijini usiku nikapata tumbo la kuhara kma mlenda wanaitwa amoeba sijui , kuja kushtuka vodonge vilikuwa kwenye begi ile kunywa kimoja tu tumbo lilitulia pale pale

Nikaja kuumwa uti, inatibu, mambo mengi tu

Cha muhim wataalam waiangalie vizuri ikibidi watu waruhusiwe kuwa nayo kama First Aid maana naona inafanya kaz kwa mambo mengi

Then hakikisha unakunywa Dawa baada ya kupimwa Na Daktari na kukushauri
usichojua hiyo ni strong antibiotic

hivo haitakiwi kunywewa kama unavoitumia dawa zinaenda kwa line ,first line second line third

sasa ww unatengeneza usugu wa magonjwa kwa kunywa dawa ambayo siyo level yake ina amana hizi first line zitakua haziwezi tena kutibu…..
shida sana hii nchi
 
Shukran sana sitorudia kuitumia hovyo
 
Kabla ya kukatisha dose ya typhoid ulirudia kupima ukaambiwa umepona na inafaa kutomaliza dawa?
 
usichojua hiyo ni strong antibiotic

hivo haitakiwi kunywewa kama unavoitumia dawa zinaenda kwa line ,first line second line third

sasa ww unatengeneza usugu wa magonjwa kwa kunywa dawa ambayo siyo level yake ina amana hizi first line zitakua haziwezi tena kutibu…..
shida sana hii nchi
Shukran sana sitorudia kuitumia hovyo
 
Hiyo line ya mwisho ndio muhimu zaidi. Huwa tunapenda kujichukulia maamuzi kunywa dawa kiholela.
 
Afu
usichojua hiyo ni strong antibiotic

hivo haitakiwi kunywewa kama unavoitumia dawa zinaenda kwa line ,first line second line third

sasa ww unatengeneza usugu wa magonjwa kwa kunywa dawa ambayo siyo level yake ina amana hizi first line zitakua haziwezi tena kutibu…..
shida sana hii nchi
mwanaume kuumwa UTI ki kazi wewe una mambo mengi kijana,unataka kusema inazidi AZUMA
 
Dawa nyingi hufanya kazi kwa kuamsha vichocheo mbalimbali vya mwili viende kuzuia madhila yaliyoletwa na kisabanishi cha ugonjwa (mfano mtu kuumwa kichwa haimaanishi kuna wadudu wanachomachoma kichwani, bali mwili unamjulisha kuwa kuna kitu kisichokua cha kawaida mwilini mwake, hayo ndio madhila yatokanayo na kisabanishi cha ugonjwa)

Vichocheo hivi ni asilia mwilini, kwahiyo unaonuwezo wa kuvitengeneza mwenyewe bila uwepo wa dawa, kinachohitajika ni kisabanishi tu kitakachousukuma ubongo kutemgeneza kichocheo hicho.

Kwa maana hiyo unaweza kutengeneza kichocheo cha kwenda kuzuia ubongo usipokee taarifa za maumivu ya kichwa na ukaamini kuwa yale maumivu hayapo tena, kumbe mwili umeamua kutokukupa tu taarifa, vivyo hivyo mwili unaweza kutengeneza vichocheo vya kwenda kuzuia maji yasibakishwe kwa wingi kwenye utumbo mpana na hivyo kupelekea kuisha kwa hali ya kuharisha hata kama haujatumia dawa ya kwenda kuondoa kisabanishi halisi cha kuharisha huko.

Nilichotaka kumaanisha ni kwamba, ni ngumu sana kuondoa vimelea vya magonjwa kwa nusu saa na kupona kabisa, bali inawezekana ubongo ukajiaminisha kuwa sasa nimetumia dawa itakayoliondoa kabisa tatizo langu na kujikuta unaushawishi mwili kutengeneza vichocheo vitakavyokwenda kutatua tatizo lako. Ukajikuta umepona kutokana na uongo wa ubongo wako.
Hapa ndipo hutumika kitu kinaitwa PLACEBO kwenye watu wenye dalili za magonjwa yasiyohitaji dawa, wanatibiwa kwa kuaminishwa tu.

Nadhani ushauri umepewa hapo juu, acha kabisa tabia ya kutumia Antibayotiki kama asali unayoweza kuilamba pale tu unapojiskia unaihitaji, inaweza kukuletea madhara hapo baadae.

Asante.
 
ukiacha azusa

azam inaponya uti..??kama kuna zingine naombeben
 
Hii mbona kama chati GPT
 
Back
Top Bottom