Wakili wa shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2022 Posts 1,976 Reaction score 3,738 Aug 6, 2023 #1 Wakuu habari. Kuna ndugu yangu kaandikiwa hii dawa Pepto Bismol kwa ajili ya matatizo ya tumbo. Ninaweza kuipata wapi maana nimeitafuta sana.
Wakuu habari. Kuna ndugu yangu kaandikiwa hii dawa Pepto Bismol kwa ajili ya matatizo ya tumbo. Ninaweza kuipata wapi maana nimeitafuta sana.
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 13,895 Reaction score 31,141 Aug 6, 2023 #2 Bismuth compound ipo mingi tu. Akikosa mtafutie relcer gel ama altapham zitamfaa
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 13,895 Reaction score 31,141 Aug 6, 2023 #3 Watu wenye peptic ulcer hupewa hizo ant acid
Wakili wa shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2022 Posts 1,976 Reaction score 3,738 Aug 6, 2023 Thread starter #4 DR SANTOS said: Bismuth compound ipo mingi tu. Akikosa mtafutie relcer gel ama altapham zitamfaa Click to expand... DR SANTOS said: Bismuth compound ipo mingi tu. Akikosa mtafutie relcer gel ama altapham zitamfaa Click to expand... Shukrani sana. Kwa hapa Tanzania nazipata wapi, maana nimetafuta sana.
DR SANTOS said: Bismuth compound ipo mingi tu. Akikosa mtafutie relcer gel ama altapham zitamfaa Click to expand... DR SANTOS said: Bismuth compound ipo mingi tu. Akikosa mtafutie relcer gel ama altapham zitamfaa Click to expand... Shukrani sana. Kwa hapa Tanzania nazipata wapi, maana nimetafuta sana.
Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,841 Reaction score 25,351 Aug 6, 2023 #5 Shetani anaumwa wewe nenda pharmacy kubwa kubwa
Wakili wa shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2022 Posts 1,976 Reaction score 3,738 Aug 6, 2023 Thread starter #6 Unique Flower said: Shetani anaumwa wewe nenda pharmacy kubwa kubwa Click to expand... Mi ni wakili tuπ. Pharmacy kubwa nimeuliza nimeona adimu.
Unique Flower said: Shetani anaumwa wewe nenda pharmacy kubwa kubwa Click to expand... Mi ni wakili tuπ. Pharmacy kubwa nimeuliza nimeona adimu.
Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,841 Reaction score 25,351 Aug 6, 2023 #7 Wakili wa shetani said: Mi ni wakili tuπ. Pharmacy kubwa nimeuliza nimeona adimu. Click to expand... Wanayo ile nyeupe haina tofauti na hiyo
Wakili wa shetani said: Mi ni wakili tuπ. Pharmacy kubwa nimeuliza nimeona adimu. Click to expand... Wanayo ile nyeupe haina tofauti na hiyo
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 13,895 Reaction score 31,141 Aug 6, 2023 #8 Wakili wa shetani said: Mi ni wakili tuπ. Pharmacy kubwa nimeuliza nimeona adimu. Click to expand... cheki hizo zingine nilizokuandikia
Wakili wa shetani said: Mi ni wakili tuπ. Pharmacy kubwa nimeuliza nimeona adimu. Click to expand... cheki hizo zingine nilizokuandikia
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,318 Reaction score 103,545 Aug 6, 2023 #9 Mwambie arudi kwa daktari wake ili aandikiwe dawa nyingine kama hiyo haipatikani,usinunue dawa kwa kufuata maoni ya JF,sio kila dawa inaweza kutumiwa na kila mtu.
Mwambie arudi kwa daktari wake ili aandikiwe dawa nyingine kama hiyo haipatikani,usinunue dawa kwa kufuata maoni ya JF,sio kila dawa inaweza kutumiwa na kila mtu.
Wakili wa shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2022 Posts 1,976 Reaction score 3,738 Aug 6, 2023 Thread starter #10 Unique Flower said: Wanayo ile nyeupe haina tofauti na hiyo Click to expand... Nayo ina Bismuth Subsalyclate?
Unique Flower said: Wanayo ile nyeupe haina tofauti na hiyo Click to expand... Nayo ina Bismuth Subsalyclate?
Wakili wa shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2022 Posts 1,976 Reaction score 3,738 Aug 6, 2023 Thread starter #11 DR SANTOS said: cheki hizo zingine nilizokuandikia Click to expand... Kuna za mwanzo alitumia, sasa ndiyo wamemuandikia hizi.
DR SANTOS said: cheki hizo zingine nilizokuandikia Click to expand... Kuna za mwanzo alitumia, sasa ndiyo wamemuandikia hizi.
Unique Flower JF-Expert Member Joined Apr 19, 2019 Posts 12,841 Reaction score 25,351 Aug 6, 2023 #12 Wakili wa shetani said: Nayo ina Bismuth Subsalyclate? Click to expand... Mi sio daktari nielezee nikuelewe
Wakili wa shetani said: Nayo ina Bismuth Subsalyclate? Click to expand... Mi sio daktari nielezee nikuelewe
Wakili wa shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2022 Posts 1,976 Reaction score 3,738 Aug 6, 2023 Thread starter #13 Unique Flower said: Mi sio daktari nielezee nikuelewe Click to expand... Hiyo pepto Bismol ndani yake ina bismuth subsalyclate. Kwa hiyo dawa yoyot yenye hiyo bismuth sub...itafaa
Unique Flower said: Mi sio daktari nielezee nikuelewe Click to expand... Hiyo pepto Bismol ndani yake ina bismuth subsalyclate. Kwa hiyo dawa yoyot yenye hiyo bismuth sub...itafaa