Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 729
Ndugu zangu nina ka Pc kangu kalikuwa kanafanya kazi vizuri lkn hivi karibuni kameanza kunisumbua kwenye typing yaani ukiwa unabonyeza keyboard maneno yanachelewa kutokea kwenye monitor yaani mpaka ubonyeze kwa nguvu sana ndo yanatokea, nimenunua keyboard mpya jana tatizo likawa palepale nifanyeje wazee msaada wenu plz!
Ndugu zangu nina ka Pc kangu kalikuwa kanafanya kazi vizuri lkn hivi karibuni kameanza kunisumbua kwenye typing yaani ukiwa unabonyeza keyboard maneno yanachelewa kutokea kwenye monitor yaani mpaka ubonyeze kwa nguvu sana ndo yanatokea, nimenunua keyboard mpya jana tatizo likawa palepale nifanyeje wazee msaada wenu plz!
hapa ninapata shida kidogo, ukitype maandishi yanachelewa kutokea, na ukibonyeza kwa nguvu yanachelewa pia? coz umesema ukibonyeza kwa nguvu yanatokea!!
Angalia clutch ya keyboard kama haijakata center bolt
:smile-big: :smile-big::smile-big: joke
Fanyahivi taja specification za pc yako ina RAM kiasi gani na uwezo wa CPU kiasi gani.
Nadhani ni memory (RAM) imezidiwa baada ya pc yako kuwa na moprgram mengi. kwa hiyo eleza una pro gani na RAM kiasi gani. Au jaribu kuongeza memory kama ka pc ako kana chini ya 512
Vile vile cheki na four Wheel drive kama inafanya kazi :smile-big::smile-big::smile-big:
Hii safe mode inakuwaje hebu nipe kwa urefu kidogo ili nijaribu sijakupata vizuri
Unataka kutatua tatizo kwa njia za sheikh yahya. Hujasema CPU yako uwezo wake ukoje. hujasema memry ya hiyo komputer ni kiasi gani.
Processor-Intel(R)Pentium4 CPU 2.80 GHz 2.81GHz
Installed memory-(RAM) 512MB(480MB usable)
system type-32-bit oparating systems
Pen and Touch-no pen or touch input is available for this display
Installed memory-(RAM) 512MB(480MB usable)
Aisee hii computer uliunda mwenyewe?? sioni balansi yeyote ya pc yenye CPU 2.80 GHz kuwa na RAM 512.
Kama nilivyokumbia fanya
kuongeza RAM iwe japo I GB ambayo ni 1024 MB
Au stopisha program usiztoztumia sana sana ku start automatcaly na kutumia memory back ground. eg yahoo messenger
Kuna uwezekano kuwa hilo ndiyo tatizo lenyewe, na kwasababu
processor yako ni hyper threading ni dhahiri tatizo liko kwenye
memory. Jaribu kuongeza memory na mambo yatakuwa poa.
Hi, Ukichemsha KABISA,Just fanya BACKUP halafu fanya new installation ya Windows. Hakikisha huweki Program nzito,hakikisha antivirus ipo na isiwe aina ya zile zinazoslow down computer.Enjoy tena computer yako! Sitegemei kusikia na hapo umeshindwa!
njia yako imenisaidia sn mkuu nimerudisha win xp yangu naona hii win 7 ilikuwa ni tatizo thanx:happy: