Edited. Ukitaka kuamini iangalie kwa makini anapopigwa risasi
1.Risasi ya kichwa ila analala na kujinyosha
2. Hafurukuti kuonyesha kuwa brain connection imekuwa disturbed.
3. Anaongea kwa ufasaha kana kwamba amepigwa risasi ya mguu ujue ubongo una control mpaka speech.
Ilikuwa ni njia ya kutuma ujumbe
Sent using
Jamii Forums mobile app