Hii Chai nimeikuta FB

eeh bwanae imesimamaje? Mbavu zangu jamani teh teh teh kwi kwi kwi!
 
hhhhhhhhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaa!!!!! jamani mbavu zangu!!! hhhhaaa!! duh!
 
kaliiiiiiiii,imetulia mzazi,nimekumbuka ile ya subiri siwezi kutoa jibu baba mwanaasha yuko kwa madiba subiri arudi
 
Ha ha ha ha haaaaaaa kichekesho hiki nilikisoma kwa mara ya kwanza 2004 mtandaoni kimhusisha George W Bush nafasi hii ya Kikwete. Lakini leo nimecheka kweli utadhani sijawahi kukiona. Nimejaribu kuwafikiria mamburura wetu
 
saa 6:50 ucku naperuzi thread hii honestry nimefurah mno.
u made ma day ma boy
 
Ha ha haaaaaa. Aki ya nani Watu JF mna dhambi. Dduuuh.
 

du ni jock ila zinga la zarau kwa hawa watu, japo maamuzi yao yanafanania na wanakifanya
 
Hahaa if Pinda sees this..haki ya nani "..mtapigwa... ili liwalo na liwe"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…