NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,918
ukikereka na kila kitu utakufa upesi,kila kitu unanuna tuZungusha mikono tu
ukikereka na kila kitu utakufa upesi,kila kitu unanuna tuZungusha mikono tu
Ujinga ukowapi? Kama kila wakienda bandarin wanakuta tatizo? Au hujaielewa katuni? Ondoa uchama kichwan then utaielewa vizuriTuko kwenye overhaul. Ninyi chekeni na vikatuni uchwara. Hakuna kinachofanyika kutafuta sifa mtaani, yote ni kwa maslahi mapana ya nchi. Otherwise huu ni ujuha na ujinga wa hali ya juu kwa mchoraji na mashabiki wake.