Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,069
- 34,839
UWANGALIFU NA ABIRIA
Thats why i love uudereva kwa daslam ni vita haswa..........sijui kwanini hakuna nidhamu barabarani jamani!!!
udereva kwa daslam ni vita haswa..........sijui kwanini hakuna nidhamu barabarani jamani!!!
Ungefika LAGOS dada yangu.........
mayoooo weeee............n'nini hiki jamani!!! kumbe tuna nafuu.........!
lakini hapana bwana, hata kama hao wako hivyo, tunatakiwa tuwe na nidhamu barabarani kama kanuni za udereva zinavyosema!
Tatizo 90% hapa Tanzania ni waendesha magari na sio madereva.....I HOPE YOU GET MY POINT