Hii Bongo HAKUNAGA

Hufanyika mto Pangani lakini nyakati za usiku tu.......
 
Oh!kumbe mambo ya ushilikina,hapo nakubaliana na wewe!
JAmani haya mbonaya kawaida tu! Tena hii ni nzuri ila ni ya wachache wanachama tu, kujiunga ni gharama kidogo Usiniulize kiasi gani.:target:
 
Kwa kuwa hali ya hewa inakua imetulia tuliiii...
Umeshawahi kupita Nungwi usiku uka-prove hiyo hypothesis yako au ndivyo mwalimu wako wa jiografia alivyokufundisha?
 
Mkuu watu 8, umenikumbusha Pangani...maeneo ya Bweni, Mwera,..Boza, Pangadeco, mtaa wa Gombero, Mkoma Bay, Mashadu[zamani Protea] Hotel, Peponi..Kigombe[kwenye Pweza]..duuh, nimekumbuka mengi..nilikuwa Pangani miaka ya 2007-2008.
 
Ukisikia bwimbwi linasafirishwa ni hivi, huko ni Columbia kama sikosei.
 
Fuatilia mazungumzo ya watu kabla ya kurukia katikati...sisi hapa tunaongelea habari ya ULOZI na wala sio habara za MIKONDO BAHARI...
Hahahah, sasa sijui hiyo habari ya NUNGWI inakujaje hapa wakati siye tupo PANGANI, mkuu TUKUTUKU tumsaidiaje huyu ndugu yetu???
Umeshawahi kupita Nungwi usiku uka-prove hiyo hypothesis yako au ndivyo mwalimu wako wa jiografia alivyokufundisha?
 
Last edited by a moderator:
Huyu atakuwa ameshashiba urojo wa pemba!!teh teh teh teh!ni vema tuachane naye,sisi tujikite kwenye mjadala wetu!
 
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu, uliposema usiku kumetulia hata wanaJF wamekunukuu, sasa unakataa unabadilika na kuhamia kwenye hoja ya ulozi.
Jipange...
 
Nitakuwa mwendawazimu kama c kichaa nikaingiza gari yangu hapo, huku ni kuhatarisha maisha na mali...hapo ni zaid ya 150 ml nikaitupe majini? Hapa lazima nikapimwe akili
 
Mbuzi Mzee ... Bongo ipo sana tu ... wale Twiga wa juzi juzi walipelekwa Nje walisafirishwa hivyo hivyo



 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…