hii blanket 'ban' uliitumiaje?

Taasisi ya kuzuia na kukamata wala na watoa rushwa,subiri na wewe watakushukia,umezidi kutoa rushwa ya ngono.
Btw ukimwona Lizzy mwambie namsalimia.
Marahaba Bishanga. . .hujambo?

Homa ya JF imeisha ?
 
Last edited by a moderator:
eeeeeehuuuuuu pheeeeeewwwww yaani wana jf wooooooote naona wakubwa walitutandika li blanket ban.Kweli nimeamini ban inauma aisee,one week no see jf,chaaaaaa muda mrefu aisee.
Embu tujuzane ndugu zangu, wengi wetu jf ndo ka addiction ketu,sasa hako ka vacuum ka wiki moja bila jf ulikajaza na nini maana 'nature abhors vacuum'.
Bishanga niliamua kuoa haraka haraka nikaenda zangu hanimuni hukooooooo kilwa kipatimo.
Na wewe mdau?
ps:mad:nyani ngabu alikamatwa anachoropoa kuku kwenye tenga soko la kisutu,sijui aliishia wapi Kongosho mara ya mwisho alionekana hoi kwenye mtaro uwanja wa fisi.
........nitaendelea ngoja niendelee kukusanya datas.
yangu imeisha leo tangu mwezi wa tatu.
 
Back
Top Bottom