Hii bill itakuhusu.

Kwa hiyo ina maana shemeji huwa hakutafuti hata ukiwa misele mida mibovu?
Hahahaa. Waif anaheshimu sana maamuzi yangu, anajua ukweli kuwa mie si mharibifu. Kama ni gambe ni gambe tu mengine naweka pembeni. Hana pressure
 
dah hapo ningelipa bili tu manake huyu mwanamke anavopenda kila saa kunipigia....
 
Wanaweza kukesha hapo nakwambia...wake zetu wengine huwa hawapigi. ..wanabip tena utaona mwanga tu kisha kata zamaaaaani

Sent from my TV
 
Mke yangu alishanizira kwa ulevi, no call, narudi nitakavyo, ila kususwa kunauma hivyo siku zingine nawahi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…