Ni jambo la kawaida kabisa kukuta mwanaume akijisikia ufahari endapo atabahatika kumega demu ambaye ni bikra. Dhana hii huenda mpaka kwenye ngazi ya familia kuwa wazazi hujisikia fahari endapo binti yao anapoolewa atakuwa bado bikra.. Na wengine hata humu jf hufikia hatua ya kuponda demu atayemkuta hana bikra kuwa ni used.. Hivi kuna lolote la maana kwenye bikra hii? Kwa mfano unaoa mke bikra akishazoea,wakati kuna mtu ameoa hiyo used na maisha ni burudani tu. Kunani na hizi bikra??
AMIINAAA NJOO NIKUTUME KWA KINA AISHAAA,MWAMBIE AISHA AAJEEEsumalee aliwaambia yeye Chungwa alimega kama cheza
ndugu yangu nilidhani mimi tu? unajua heshima lazima iwepo na leo X-Pin amesema ni siku ya heshima kwa wadada so nakubaliana na yeye. Lakini kwani hata binti anapoonekana kuwa ametolewa bikra ( ambayo wengi hutolewa kwa kumegwa) huonekana kama mtu aliyekosa maadili? Kwa nini heshima na utu wake usionekane katika mafanikio ya ujumla katika jamii. Kwa mfano binti amesoma mpaka level ya university kama binadamu aliyepevuka akiwa huko kamegwa na huo ubikra umepotea kamaliza shule kapata ajira yake nzuri na maisha yanaendelea na siku hizi watu wamevumbua mtu akitaka kuoa anajitahidi kwanza ampachike na mimba mwanamke. Tena hiyo ndio huleta simamnzi sana kwenye baadhi ya familia. NIliwahi kuhudhuria harusi moja bi harusi inasemekana alikuwa na ujauzito wa miezi mitano shangazi wa bi harusi akawa mkali kwa baba wa binti kuwa hakumchunga mtoto. Vipi hapa??Siipendi hii phrase!!!!
ndugu yangu nilidhani mimi tu? unajua heshima lazima iwepo na leo X-Pin amesema ni siku ya heshima kwa wadada so nakubaliana na yeye. Lakini kwani hata binti anapoonekana kuwa ametolewa bikra ( ambayo wengi hutolewa kwa kumegwa) huonekana kama mtu aliyekosa maadili? Kwa nini heshima na utu wake usionekane katika mafanikio ya ujumla katika jamii. Kwa mfano binti amesoma mpaka level ya university kama binadamu aliyepevuka akiwa huko kamegwa na huo ubikra umepotea kamaliza shule kapata ajira yake nzuri na maisha yanaendelea na siku hizi watu wamevumbua mtu akitaka kuoa anajitahidi kwanza ampachike na mimba mwanamke. Tena hiyo ndio huleta simamnzi sana kwenye baadhi ya familia. NIliwahi kuhudhuria harusi moja bi harusi inasemekana alikuwa na ujauzito wa miezi mitano shangazi wa bi harusi akawa mkali kwa baba wa binti kuwa hakumchunga mtoto. Vipi hapa??
Ni jambo la kawaida kabisa kukuta mwanaume akijisikia ufahari endapo atabahatika kumega demu ambaye ni bikra. mwanamme huyu anakuwa bikra pia?
Dhana hii huenda mpaka kwenye ngazi ya familia kuwa wazazi hujisikia fahari endapo binti yao anapoolewa atakuwa bado bikra.. Na wengine hata humu jf hufikia hatua ya kuponda demu atayemkuta hana bikra kuwa ni used.. yeye je si used?
Hivi kuna lolote la maana kwenye bikra hii? Kwa mfano unaoa mke bikra akishazoea,wakati kuna mtu ameoa hiyo used na maisha ni burudani tu. Kunani na hizi bikra??
yani bikira ni heshima kubwa kwa mwanamke na ni zawadi pekee anayomzawadia mume wake na sio tgo
na mume humzawadia nini mke??? (out of curiosity)
ishu ya mabikira ni nyeti sana. mimi kwa kweli nikipata demu la kuoa yused nitakuwa nalikanyaga bila hata huruma hata tigo kama inalipa linaliwa tu, kwani haya ndiyo huropoka huko nje sijui hakunifikisha kishumundu, mara ooo sikufika mwisho wa reli!!!!!!! kama wangekuwa bikira huko kwa vidume wao kila kitu wangejifunza huko na kuwa proud ka chochote hata kidogo wangeridhika, sio huu uchafu wa siku hizi.
mademu bwana kila siku wanasababbisha matatizo!!! kha!!!!!!!!
ishu ya mabikira ni nyeti sana. mimi kwa kweli nikipata demu la kuoa yused nitakuwa nalikanyaga bila hata huruma hata tigo kama inalipa linaliwa tu, kwani haya ndiyo huropoka huko nje sijui hakunifikisha kishumundu, mara ooo sikufika mwisho wa reli!!!!!!! kama wangekuwa bikira huko kwa vidume wao kila kitu wangejifunza huko na kuwa proud ka chochote hata kidogo wangeridhika, sio huu uchafu wa siku hizi.
mademu bwana kila siku wanasababbisha matatizo!!! kha!!!!!!!!