Sajenti
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 3,651
- 412
Ni jambo la kawaida kabisa kukuta mwanaume akijisikia ufahari endapo atabahatika kumega demu ambaye ni bikra. Dhana hii huenda mpaka kwenye ngazi ya familia kuwa wazazi hujisikia fahari endapo binti yao anapoolewa atakuwa bado bikra.. Na wengine hata humu jf hufikia hatua ya kuponda demu atayemkuta hana bikra kuwa ni used.. Hivi kuna lolote la maana kwenye bikra hii? Kwa mfano unaoa mke bikra akishazoea,wakati kuna mtu ameoa hiyo used na maisha ni burudani tu. Kunani na hizi bikra??