G
Nenda njombe apo usikii baridi yoyoteLeo nimeenda kumtembelea jamaa yangu mmoja anaishi sehemu moja inaitwa Kilolo Mkoa wa Iringa.
Huyu ni mate wangu, nilisoma naye chuo kikuu anafanya kazi huku ni Afisa fulani.
Wazee hii baridi sio mchezo. Kesho nitaikimbia na kurudi kwangu Dar. Sijui wanaishije hawa watu. Yaani nimeingia jioni hii hapa kwake, kesho saa 7 naondoka niwaachie na taabu yao.
Ona hiyo Temperature inavyosoma.
View attachment 3117108
Hapa wameniwashia moto niote na shem ananiambia nikaoge. Hahaha hata kama maji ya moto, leo siogi.
View attachment 3117114
Wenyewe wanasema sasa ndio kipindi cha joto kwani wanakaribia msimu wa kuanza kwa mvua. ๐๐๐๐
Kipindi cha baridi ni kuanzia mwezi 2 hadi mwezi Septemba na peak huwa mwezi Juni hadi Agosti.๐๐๐
Kumbe ndio maana tunasikia watu wamefia ndani kwa kukosa hewa kwani wanapaswa mikoa na carbon monoxide inawaua.
Makete namba nyingine.Mbona bado sana me nmekaa mbeya ila siku nmefika uyole nikasema pale forest ni cha mtoto.
Makete peke yake ndyo Kuna baridi kwengine ni range za kawaida.
Oya kuna baridi inapigaga pale sae sijawai ona ....ile miaka ya o-level niliyokaa pale ni kama miaka kumi.Mbona bado sana me nmekaa mbeya ila siku nmefika uyole nikasema pale forest ni cha mtoto.
Makete peke yake ndyo Kuna baridi kwengine ni range za kawaida.
Kumbuka hii ni kioindi cha joto kwao kwani ni kuelekea kipindi cha mvua ila wanasema inafikia hadi 6ยฐC mwezi wa Saba na wanane.Mbona bado sana me nmekaa mbeya ila siku nmefika uyole nikasema pale forest ni cha mtoto.
Makete peke yake ndyo Kuna baridi kwengine ni range za kawaida.
KabisaHapo hakuna baridi njoo makete kama ulaya
Iringa kuna baridi ya kawaida sana..Leo nimeenda kumtembelea jamaa yangu mmoja anaishi sehemu moja inaitwa Kilolo Mkoa wa Iringa.
Huyu ni mate wangu, nilisoma naye chuo kikuu anafanya kazi huku ni Afisa fulani.
Wazee hii baridi sio mchezo. Kesho nitaikimbia na kurudi kwangu Dar. Sijui wanaishije hawa watu. Yaani nimeingia jioni hii hapa kwake, kesho saa 7 naondoka niwaachie na taabu yao.
Ona hiyo Temperature inavyosoma.
View attachment 3117108
Hapa wameniwashia moto niote na shem ananiambia nikaoge. Hahaha hata kama maji ya moto, leo siogi.
View attachment 3117114
Wenyewe wanasema sasa ndio kipindi cha joto kwani wanakaribia msimu wa kuanza kwa mvua. ๐๐๐๐
Kipindi cha baridi ni kuanzia mwezi 2 hadi mwezi Septemba na peak huwa mwezi Juni hadi Agosti.๐๐๐
Kumbe ndio maana tunasikia watu wamefia ndani kwa kukosa hewa kwani wanapaswa mikoa na carbon monoxide inawaua.
Aende Makete, Ngoma inasoma 7ยฐcNenda njombe apo usikii baridi yoyote
Huko ukikaa vbaya unaganda.Kumbuka hii ni kioindi cha joto kwao kwani ni kuelekea kipindi cha mvua ila wanasema inafikia hadi 6ยฐC mwezi wa Saba na wanane.