Hii barabara ni noma sana!

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,901
95,404
ipo andes, chile!
voanews_B96au1mDLcO.jpeg
 
Kuna barabara ipo Tanzania tena ina kona kali na nyingi kuliko hiyo iko Morogoro.

ˡ ˡⁱᵏᵉ ᵇⁱᵍ⁻ᵗⁱᵗᵗʸ ʷᵒᵐᵃⁿ
 
Hiyo road in raha yake buana hasa ukiwa tungi la k-vant mixa safari bariiiiidiii,unasepa zako mahome kutafuta kitanda
 
kuna barabara ipo chimala mbeya kwenda matamba wilaya ya makete ,hii ikasome

kuna kona kali 72 ,,kuna sehemu gari la juu linakuwa mita chache tu
 
Back
Top Bottom