Hii Bado Ipo?

Hii Bado Ipo?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Wazee waasisi wa kijiji cha Kabungu wakinyanyua matawi ya miti juu kama ishara ya kumpokea Makamu wa Rais Dkt. Gharib Bilal wakati alipowasili katika kijiji hicho leo.

1315.jpg1315.jpg
 
View attachment 86031View attachment 86031

hao watakuwa wanachama wa chama twawala au ni wale wenye nidhamu ya woga. Unakumbuka enzi zile wakubwa wakipita tunaambiwa tujipange barabarani tangu asubuhi halafu wanapita saa kumi! tunastahili kulipwa fidia watanzania
 
Ipo sana,ila sikuhizi wame-innovate. Wanashika vibendera na vitambaa.
 
afadhali enzi zile tulikua na vitambaa barabara nzima
 
Ipo sana,ila sikuhizi wame-innovate. Wanashika vibendera na vitambaa.

Mbona hii ni ya juzijuzi tu? tena Makamu wa Rais ambaye ofisi yake inashughulikia mazingira
 
hao watakua watanganyika watanzania wao huwa wanawarushiaga mawe ikibidi maana ni
kero kabisa
 
Back
Top Bottom