Hii Alama inamaanisha nini??

Marufuku kukojoa hapa na ukikojoa ukikamatwa unakatwa pumbu ndio maana ya huo mkasi hapo
 
Hapo unaruhusiwa kunya tu , ukikojoa unakatwa korodani
 
Hilo tangazo halipo gender sensitive!
 
Tangazo la kibaguzi. Kwani wanawake hawakojoi? Mbona hakuna alama inayoonyesha kuwazuia au na wao wanakojoa wamesimama?
 
kwa hivyo ni wanaume tu ndo hawaruhisiwi kukojoa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…