Hii ajali si mchezo

Ile ziara ya makonda nadhani
Duh ukisikia vyuma kuumana ndiyo hiyooo hapo
Naona ndinga zimefumuana,itakuwa mwendo na barabara ina makorongoo +mashimo

Ova
 
Kuna nyingine nasikia imetokea kanda ya ziwa walikokanusha kuwa hadaiwi barabara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…