Dah wako sahihi ila sema tu kwenye kupima Ukimwi ndo wanakosea coz yahitaji utayari wa mtu mwenyewe au kama wakikupima basi hawakutakiwa kukupa majibu kwa kuwa hukipanga kupima....
Mambo mengine ni ya kawaida kwa kuwa watakuwa na uzoefu wa kukutana na mashoga....
Hivi unajua mwanaume hanisi ni km mwanamke? Ofisi haiendi kabsaaaaaaa

Wadau,nimetoka kuongea na ndugu yangu ambaye ameshiriki kwenye mchakato wa interview katika sekta moja nyeti sana nchini.
Kilichonistua ni kuwa intavyuu yenyewe ni ya ajabu sana
1. Kwanza;ilifika sehemu wakaingia kwene chumba wakiwa watupu kabisa kila mmoja.Na kisha walikuwa wanalazwa kitandani na kuamshwa hisia zao ili uume usimame. Kama usiposimama analetwa mwanamke mrembo na kukupapasa kuhakikisha kweli wewe ni rijali.
Kingine ni kuwa,ukiwa uchi hivo unaambiwa inama,kisha unapigishwa chafya ama kelele kwa nguvu,huku kwa nyuma mtu anaangalia njia yako ya haja kubwa..lengo ni kuangalia kama umewahi kujihusisha na ngono ya kinyume na maumbile(kukameruniwa)..ikirespond kwa namna fulani wao wanajua kuwa wewe ni shoga so huna ajira.
Pia wanakupima magonjwa yote hadi ukimwi na kukupa majibu. Ukifuzu stage zote hizo na nyinginezo kali kweli ndio unapata ajira.
Huyo ndugu yangu amepitia stage zote hizo za intavyuu,ila tu anadai wamemnyima kazi kwa sababu ana matatizo ya kifua chronic.
Hii ni interview au wanatengeneza porn movies?????
hahahaha AD umenipa raha
hiyo kali kweli lakini pia kuna baadhi ya nchi za ulaya wanafanya hivyo kama Waingereza ukitaka kujiunga na jeshi lazima utapimwa vipimo kama hivyo. kukukuvua nguo uchi wa nyama na wanamwita Daktari anakuangalia sehemu ya nyuma kama una maradhi ya Bawasiri,au wewe ni shoga, au kama una mardhi ya ngiri,au maradhi yoyote yale ndipo ukipasi waweza kujiunga na jeshi huko Uingereza. mkuu hili jina laB-52 umelipata wapi? hilo jina mimi ndilo lilikuwa langu wakati wa vita vya AFaghanistan vita vya Amerika kumtafuta Mzee Osama bin Laden unajuwa nini maana ya ( B-52 )? hebu ona jibu hapa chini ni ndege kubwa inayobeba Mabomu na kuruka juu sana ndege ya Kimarekani hebu ona hapa chiniDah wako sahihi ila sema tu kwenye kupima Ukimwi ndo wanakosea coz yahitaji utayari wa mtu mwenyewe au kama wakikupima basi hawakutakiwa kukupa majibu kwa kuwa hukipanga kupima....
Mambo mengine ni ya kawaida kwa kuwa watakuwa na uzoefu wa kukutana na mashoga....
Hivi unajua mwanaume hanisi ni km mwanamke? Ofisi haiendi kabsaaaaaaa
Nimeshindwa kuelewa ...