Asemavyo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 330
- 883
Wenzangu niko IFM mwaka wa tatu, nimepata dili kwenda Greenland Nina wazungu ambao tutakuwa wote takriban miaka 10 , nimeona kuna uwezekano wa kuacha chuo nikapewa HIGHER DIPLOMA IN ACCOUNTING IFM Ninapo acha chuo nikiwa mwaka wa tatu, maan ni NTA Level 7, ipo juu ya ordinary diploma, na inakaribia units za degree,
Je niache chuo niombe hiyo au niombe kupostpone miaka ntasoma mbeleni,
Asemavyo
Je niache chuo niombe hiyo au niombe kupostpone miaka ntasoma mbeleni,
Asemavyo