Higgs Boson detected?

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,409
9,183
Tomorrow at 9 am EST scientist at CERN in switzerland are expected to announce with fairly strong certainty that they have observed Higgs Boson particle or "Gods" Particle. The particle that gives mass to other particles ie gives form to matter unlike for example photons which exist as formless energy. This will undoubtedly be the biggest scientific breakthrough of century so far. Haya wana fizikia naweni mikono mkae mkao wa kula!
 
Higgs AKA Gods particle...not yet lakini wameona ipo according to their data lakini need more data to be sure 100% wanaamini by 2012 will know 100%,ni big deal maana will explain origin of everything and why everything has mass,its like miaka ile Eisntein alivyokuja na special relativity theory,mc" etc theory ambazo zilibadilisha kila kitu in understanding of our universe na ndio tunatumia sasa kuanzia kwenye weapons system,space travel,energy,communications etc bila Einsten vitu kama space travel vingekuwa dream tuu,hata hizi GPS,broadband,microwaves etc nyingi zina uhusiano mkubwa sana na theory za Einstein,dont know nini kitakuja na hii discovery lakini apps zake kama kweli higgs ipo naamini will change everything and the way human tunavyoishi sasa,kama una interest ingia hapa What the Higgs is going on - Perimeter Institute for Theoretical Physics
 
Katika sayansi hamna 100% mazee, wataweza kujua up to a certain acceptable degree of margin of error, lakini Heisenberg's Uncertainty Principle na Quantum pertubations zinakataza 100% certainty na zinaelezea ulimwengu katika probabilistic fabric of reality. You can write 99.9%, even with infinite 9s to follow, but that 100% is the elusive asymptote, to be pursued, but never attained.

Hata huyo Einstein na Relativity yake watu wanai revisit kwa sababu inaonekana kama neutrinos zinakwenda kasi kuliko photon. Na Einstein's relativity is a pillar for over 100 years now.
 
Back
Top Bottom