Hifadhi ya Taifa ya Kitulo Katika Rekodi Za Dunia

Hifadhi ya Taifa ya Kitulo Katika Rekodi Za Dunia

nimekumbuka mbali sana mwaka 2011 nilienda kutembelea kitulo. wakati na toka kwenye hifadhi hiyo ndege aina ya kwale alijigiga kwenye gari na kuanguka. nilishuka haraka nikamukama. nilienda kumukaanga. duu mtamu sana. JF kweri is a home of memories.
kweri we muhenga aliyesema chakale dhaabu
 
Kitulo nikuzuri sana..na kwa Mtanzania ni bei rahisi sana. Upende tu kutembea (wenzetu wanaita hiking) ndio utaifurahia hii hifadhi. Ukienda kati ya mwezi wa kumi na mwezi wa kwanza utaona maua ya aina nyingi sana..na utaelewa kwanini wanaiita bustani ya Mungu.

Kwa sasa naona wameongeza Majengo na eneo la kufanya camping. Kuna maji yakutosha na vyoo na mabafu safi kabisa. Ukiweza kufanya route ya kitulo-matamba, yaani utajionea mengi na kufurahia sana. Uwe adventurous tu.
 
welcome again its will be amazing moment
Give thanks brethren. I will be visiting again December this year. First time I visited I was amazed by the beauty of the place. Truly I admired everything about Kitulo. Hundreds of species of birds, beautiful wild flowers and etc. Adventure is my life
 
kweri mkuu
Kitulo nikuzuri sana..na kwa Mtanzania ni bei rahisi sana. Upende tu kutembea (wenzetu wanaita hiking) ndio utaifurahia hii hifadhi. Ukienda kati ya mwezi wa kumi na mwezi wa kwanza utaona maua ya aina nyingi sana..na utaelewa kwanini wanaiita bustani ya Mungu.

Kwa sasa naona wameongeza Majengo na eneo la kufanya camping. Kuna maji yakutosha na vyoo na mabafu safi kabisa. Ukiweza kufanya route ya kitulo-matamba, yaani utajionea mengi na kufurahia sana. Uwe adventurous tu.
 
Nyama yao huwezi kula mkuu, ni ngumu sana kama tyre. We unafikiri route ya Tz to Ulaya mchezo. Wanakula sahani moja na kupishana tu angani na British airways.
Hawa ndege huwa wanaliwa vizuri sana na huwa wanawindwa. Miaka ya nyuma nilipokuwa mdogo tulikuwa tukiwawinda hasa miezi ya kuanzia January ndio msimu wao wakati huo TANAPA ilikuwa bado haijaanza kazi maeneo ya Kitulo ila kwa sasa kuna ulinzi mkubwa wa TANAPA kwahiyo. Wapo ndege wengine wa jamii yao huitwa Adbim's stock
8650c8dedfdb142b2d91d3c3a5cf28dc.jpg

160b6041c74331da795e192b14983d69.jpg

Hao pia huambatana pamoja na kuhama kwenda nchi za mbali au nje ya bara kama ulaya au Asia.
Kwahiyo elewa kuwa hao ndege wanaliwa ila kwa sasa TANAPA watalala na wewe mbele ukikutwa unawinda

Cc: rubii
 
YAaani Mie Ninavyokupenda kitulo kila siku huwa nalala hukohuko
Nimechukua picha kubwa ya kitulo nimeiweka chini ya kitanda
yaani haa ivi najibu nimekaa kitulo jamani
i love my country 😳😳😳😳😳😳🙄🙄🙄🙄🙄
 
Mandhari ya Kitulo yanavutia sana. Hasa baridi la kule ukienda mwezi Julai au August safi sana
 
Hifadhi ya taifa ya kitulo ndio inaitwa "Bustani ya Mungu" au Wazungu wanaiita "The Serengeti of Flowers" kwa kuwa na kijani na maua yaliyochanuka ya rangi mbalimbali hasa wakati wa Novemba- Machi.
Ni hifadhi ya kutembelea. Utalii wa ndani.



 
Back
Top Bottom