sinafungu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2010
- 1,527
- 865
Suala la kifo cha faru John kimenifumbua macho, hivi kumbe kuna watu binafsi wanamiliki hifadhi zetu ambao ni urithi wetu? Kama huyu bw Paul Jones wa GRUMETI, INAKUWAJE ? Serikali imeshindwa kuziendesha au ndo kama lile la uuzwaji wanyama pori wakiwa hai?