Hifadhi mazao bila kutia dawa

Hii ina nini cha ziada tofauti na ile ya kawaida inachoipa uwezo wa kuzuia uharibifu wa mazao?
JINSI INAVYOFANYA KAZI
Mifuko hii hairuhusu hewa kuingia Wala kutoka. Ukifungia mazao katika mifuko hii, mazao hutumia hewa yote ya oxygen iliyopo mifuko na kubakisha Carbondioxide.
Wadudu wanahitaji Oxygen ili waishi. Wakikosa Oxygen hugs ndani ya siku Saba.
ONYO: Usihifadhi mbegu humu, inaweza kufa.

JINSI YA KUTUMIA
Hakikisha mazao yamekauka vema. Safisha mazao yako kwa kuhakikisha Vumbi Na uchafu mwingine vimetolewa.

Weka mazao katika mfuko. Funga mfuko wa kwanza kwa kamba, funga wa pili, funga wa tatu.

Weka mifuko sehemu salama ili isitobolewe Na misumari ama vijiti. Tumia njia zingine kudhibiti wadudu kama panya.
ONYO: Usishone mfuko

MUDA WA MATUMIZI
Mfuko huu Bado uko salama mpaka tu pale utakapokua umetoboka.
Waweza kutumia zaidi ya misimu mitatu.

MAELEZO ZAIDI
FARMRICH Agro-Enterprises Limited
farmrichagro@gmail.com
www.farmrich.wordpress.com
0755325442
 
Mifuko inaweza kutumika hadi misimu mitatu

Imetengenezwa kwa nylon ya kawaida. Mfuko una layers tatu. The outermost layer is made up of polypropylene nylon, ile ya nyuznyuz ama salfeti. The inner two layers are made of polythene nylon. Hizi mbili za ndani Ni airtight so hufanya wadudu wasafoketi Na kufa kwa kukosa oxygen

Ahsante sana.

Kwa maana hiyo inaweza kutunza unga na hata mchele kwa miaka kama haujafunguliwa?
 
Haswaaaaaa waweza kuhifadhia unga pia
HIFADHI MAZAO BILA KUTIA DAWA
Kwa ajili ya kulinda afya ya mlaji, tumia mifuko ya kisasa (helmetic) kuhifadhi mazao yako. Mifuko inaitwa PICS Na AgroZ.

Ukubwa: kilo 100
Bei: 4000

Tutakutumia ulipo.

FARMRICH Agro-Enterprises Ltd
Email: farmrichagro@gmail.com
Call: 0755325442

JINSI INAVYOFANYA KAZI
Mifuko hii hairuhusu hewa kuingia Wala kutoka. Ukifungia mazao katika mifuko hii, mazao hutumia hewa yote ya oxygen iliyopo mifuko na kubakisha Carbondioxide.
Wadudu wanahitaji Oxygen ili waishi. Wakikosa Oxygen hugs ndani ya siku Saba.
ONYO: Usihifadhi mbegu humu, inaweza kufa.

JINSI YA KUTUMIA
Hakikisha mazao yamekauka vema. Safisha mazao yako kwa kuhakikisha Vumbi Na uchafu mwingine vimetolewa.

Weka mazao katika mfuko. Funga mfuko wa kwanza kwa kamba, funga wa pili, funga wa tatu.

Weka mifuko sehemu salama ili isitobolewe Na misumari ama vijiti. Tumia njia zingine kudhibiti wadudu kama panya nje ya mfuko.
ONYO: Usishone mfuko

MUDA WA MATUMIZI
Mfuko huu Bado uko salama mpaka tu pale utakapokua umetoboka.
Waweza kutumia zaidi ya misimu mitatu.

MAELEZO ZAIDI
FARMRICH Agro-Enterprises Limited
farmrichagro@gmail.com
www.farmrich.wordpress.com
0755325442
9dc3427c80dbdcb23989c0a4302b1a43.jpg

Ahsante sana.

Kwa maana hiyo inaweza kutunza unga na hata mchele kwa miaka kama haujafunguliwa?
 
Sema ofisi zilipo tufate wenyewe haya mambo ya kitumiana hela bila kujuana watu washaibiwa sana na usiseme we ni mwaminifu sema mpo wapi Wateja tuje
 
Tupeane mrejesho ambao mlishaitumia hii mifuko. Najua pashapita muda wa zaidi wa miaka mitatu km ufanisi ushaonekana kwa waliotumia hii mifuko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom