Hidden

Hidden

namshukuru Mungu hawajanitoa
ngeu ya receiption bali wameniharibu
mkono nilipokuwa nawadhibiti kwa kinga


cousin kama wamekutoa ngeu
tupange shambulizi la ghafla
tuhakikishe meno ya seblen hawana!!
 
pole hujaelewa hii thread bestito
mwenzio ni mawengewenge hayo niliyoyapata
kule siasani nilipatwa na mkong'oto wa hali ya juu
kisa najifanya ninachonga sana :eek2: wakanipa kibano
Nimetoka kapa hapa.
 
Back
Top Bottom