Hichi ndicho Mbowe alikusudia kusema

Hichi ndicho Mbowe alikusudia kusema

kuwa gamba ni janga,hivi ni mambo gani ya maana yaliyojadiliwa na hao magamba wenye elimu?mbona wamepitisha upuuz mtupu
 
magamba yaliyosoma yametufikisha hapa tulipo,ndo majiz ya epa,richmond,na yaliyotuingiza katika mikata ya kiendawazimu
 
Huwa nashangaa sana akili ndogo inaongoza akili kubwa. Watu kama Dr.Kitilia. Prof. Baregu, Zitto, Prof.Safari, na wengine wengi wote wapo chini ya Mbowe, Ndiyo maana unaona watu kama Sugu ndiyo watetezi wake.
niwatetezi wake kwa kuwa wote wameishia darasa la 3C, pia wote wanaelim ya kasino.
 
magamba yaliyosoma yametufikisha hapa tulipo,ndo majiz ya epa,richmond,na yaliyotuingiza katika mikata ya kiendawazimu
acha kujizalilisha na sum ulizonyeshwa na mcheza shoo. wewe wa wapi? mbona hufananii na pumba unazolopoka? au bangi za mchana izo???
 
“Kwanza, nilichotaka kusema ni kutoa hoja ya kuomba shughuli za Bunge zisitishwe kwa muda ili Kamati ya Uongozi ya Bunge ijadili makandokando yote ambayo yalikuwa yametokea juu ya muswada huo, ukiwamo uongo wa mwenyekiti wa kamati ya Bunge, uongo wa serikali bungeni na masuala mengine yote, ili sasa Bunge lipate mwelekeo chanya juu ya muswada huo na mchakato mzima wa Katiba Mpya kwa masilahi ya wananchi.
“Hivyo hoja yangu ilikuwa muhimu sana kusikilizwa, ili viongozi wakutane kuokoa jahazi na kuondoa sintofahamu ambayo hatimaye imesababisha mjadala mkubwa na muswada mbovu kupitishwa bungeni kwa masilahi ya upande mmoja wa CCM,” Mbowe alikaririwa akisema.
wakati kura imeshapigwa?...huyu jamaa kumbe ana madharau etieeh.
 
Meli ya Kinana iliyobeba meno ya Tembo nayo imesajiliwa Tanzania kama ile ya Bangi ya Italia?

ukipanda mahindi yanaota kijani .ukipanda bangi inaota kijani.hamsemi kijani ya ccm mbaya.by Malima .meli imepakia mzigo wa mteja bangi .mnadai kushitaki mwenye meli .meli imepakia pembe za ndovu .mwenye meli ausiki mzigo ni wa mteja,kama aitoshi mwenye meli iliyo beba pembe .Anadai mkutanoni ccm miradi yote iwe wazi kwa wanachama wake ilikudhibiti wezi ,lakini hapo hapo ccm wanapinga uwazi wa miradi inayo ingiwa na serikali kuwa wazi kwa wabunge achilia mbali wananchi wa Tanzania.ccm kama wanaongoza wehu vile au ?? Chukua hatua sasa .jiulize kiongozi wa mali yako .je unakuona we -------- ,amelewa fedha unayo mlipa ,amepagawa kwa kukufisadi, au amepata kichaa anachukua kamba anakwenda kujinyonga 2015 ??
 
Naona magamba leo mmeambiwa mtalipwa buku 8 mmekunywa chai lakini?
Ukiwatumbukizia issue za minyanya yao ya sembe hapa wote wanatoweka kama mbu na inzi kwenye sehemu iliyopulizwa insectcide.
 
Kuna wakati inatia maudhi na uchungu kuona Watanzania tumegawanywa kama nyanya sokoni.Badala ya kufikiria UTAIFA wetu tunafikiria vyama vyetu na watu wanaotupatia posho mara kwa mara.Jamani tutakapozinduka usingizini tumebaki waupe kama tulivyo zaliwa.Tufike mahali tuamke tuache kushabikia vyama.Kama Ndugai katukosea watanzania kwa kutunyima haki ya kumisikiliza Mh.Mbowe,hata akiwa ni Mwenyekiti au mwanachama wa CHADEMA bado anahaki ya kutoa mawazo yake na kusikilizwa kwa nini Naibu Spika na serikali ya CCM iwaweke wapinzani kama raia wasiyo na haki kamili kama watanzania waliowanachama waCCM.Tuelimike matusi na kejeli hazitufikishi tunapotaka kwenda.Hakuna haja ya kuwa na Katiba yenye mtazamo wa chama kimoja tu CCM eti kwa kuwa ndiyo serikali,basi ifike mahali tuendelee na Katiba ya zamani ili tuendelee na AMANI yetu na UTAIFA wetu.
 
Wewe ndie msemaji mkuu wa huyo kiongozi?
Unajua maana ya kuwa msemaji wewe kichwa maji.....? Hapo amenukuu kauli ya Mbowe we unaleta upunguani....Maccm mna macho lakini hamuoni, mna masikio lakini hamsikii....Enyi Maccm nani kawalogaaaa!!!!!
 
Back
Top Bottom