Hichi kinauzi hapa MMU

Hichi kinauzi hapa MMU

hata mimi niliona ilo ila niaaamua niwe naishia kule kazini kwetu tu kwenye Sport uzi wetu wa kubeti..haya mambo yakina Daby na madem zake tuwaachie tu huku MMU
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu hepu katupie korokoro
Kule nidese nalo
 
Mmu ilikua zaman yan ukilete
Uz unataka ushaur
Utashauriwa vzr tu na mpaka
Unashindwa uchukue ushaur gani hakua na haya mambo ya
Kuchart kwenye uz wa mtu

Hata kama yalikuwepo n kwa
20% lakin now 90% ya uz,wa ushaur n chart ndo znakuaga

Me nmeshajiwekea destur yang nkikuta uz umeshakuwa wa kuchat napta zang na
Yanayoendelea

Maana hata ukitoa ushaur
Hautaonekana
 
...hili jukwaa limekuwa la kipuuzipuuzi sana sababu ya huko huko kupaishana kindezi!
..ila wamekula za uso wakafie mbele kwa muda,
.blalbasket!
 
Take it easy shem....me ntakua ndugu yako usijiskie mpweke

Mwanzoni na mm nilikua nawashangaa ikabidi tu niunge bodi nianze kuita binamu, jiran yoyote yule na sahv tumekua ndugu kweli[emoji12]
Haya
 
Embu bana wapunguze ukiwa mgeni humu unaweza jua facebook.

unashida kweli lakini hahah hahah u bamdogo bamdogo.

siku moja tena nimeweka uzi wangu hapa kilichofuata nikaitwa mchawi, ile siku nilipigwa ban maana nilichokifanya siri yangu sitaki kukumbuka.

haaanzishi nyuzi zozote kazi kumpumzikia za watu tsk
Pamoja Mzee!
 
Na unakuta mtu mwingine kakopy story nzima afu anakuja kuandika asante mkuu na sio mmoja yaani wanakera basi tu mtu unaswipe mpaka unakata tamaa unaamua kwenda page ingine ... Sio fair
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom