umepata umanjano wa macho kabla ya hili tatizo kuanza?Salam zenu wadau na wataalam wa afya.
Nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya tumbo hasa maeneo ya upande wa kulia chini ya mbavu ambapo wataalam wanasema ni maeneo linapokaa INI...
umepata umanjano wa macho kabla ya hili tatizo kuanza?
Unaitaji work out Mkuu!Hapana sijawah pata
ushauri mzuri huuUnaitaji work out Mkuu!
Mosi,Kuwa na Negative H.Pyroli haimaanishi kuwa hauwezi kuwa na Vidonda vya tumbo...
Asante kwa ushauri wako mazuri.Unaitaji work out Mkuu!
Mosi,Kuwa na Negative H.Pyroli haimaanishi kuwa hauwezi kuwa na Vidonda vya tumbo....
Mtoto wa sister angu anasumbuliwa sana na ugonjwa unaofanana na huo, ingawaje yeye kaambia kibofu cha nyongo, kwa kizungu gallstone. Je, unadhani itakuwa ndo ugonjwa wenyewe?! Kama unadhani inaweza kuwa ndio huo ugonjwa, je hiyo nafuu ulipatia hospitali ipi?Asante kwa ushauri wako mazuri.
Ni wiki mbili sasa toka nifanye kipimo cha ini na ndipo nilipo onekana nyongo imevimba(imejaa) lakini pia ultrasound imeonyesha nina gas tumboni hivyo daktari akaniandikia vidonge vya kupunguza kujaa kwa nyongo lakini pia akaniandikia vidonge vya kupunguza gas.nimetumia Dawa kwa muda wa siku7 na toka nimalize dawa kwakwli nakiri kusema maumivu upande wa ini yalokuwa yanasababishwa na nyongo yamepotea ila upande wa gas nadhani bado kwani imekuwa ikinitokea tumbo kuwaka moto na nikimeza vidonge vya kupunguza acid nakuwa sawa.nadhani nahitaji msaada/uchunguzi zaid kwenye upande wa gas.
Mtoto wa sister angu anasumbuliwa sana na ugonjwa unaofanana na huo, ingawaje yeye kaambia kibofu cha nyongo, kwa kizungu gallstone. Je, unadhani itakuwa ndo ugonjwa wenyewe?! Kama unadhani inaweza kuwa ndio huo ugonjwa, je hiyo nafuu ulipatia hospitali ipi?
Mkuu Njunwa Wamavoko, vipi unaweza kutia neno hapa?
Mkuu Kijoroo shukrani kwa maelezo na masahihisho yako!Nimeongea nae muda si mrefu... hospitali hawaku-specify na badala yake wameishia tu kusema kifuko cha nyongo.Nami nina hilo tatizo la kibofu cha nyongo japo kiswahili kizuri ni mfuko wa nyongo,kibofu ni kimoja tu Nacho ni kibofu cha mkojo. Kifuko cha nyongo kina matatzo Matatu, yakwanza ni kifuko kujaa,ya pili ni kifuko kuwa na mawe, na yatatu ni kifuko kuziba, sasa je wewe huyo mtoto wa sister wako aliambiwa ana tatzo gani kati ya hayo matatu? Mimi nilikutwa kimejaa nikapewa vidonge nimetumia sasaiv najiskia vizuri.
Mkuu Kijoroo shukrani kwa maelezo na masahihisho yako!Nimeongea nae muda si mrefu... hospitali hawaku-specify na badala yake wameishia tu kusema kifuko cha nyongo.
Endapo hutajali, unaweza kunijuza wewe ulienda hospitali ipi ila nasi tukaombe Mungu huko huko?!
Mleta Mada usichukue huu ushauri hauna uhalisia kwa asilimia hata 60%Mzee Baba achana na vyakula vinavyosababisha acid kuwa nyingi mwilini maana nyongo ipo kwenye basic media na tumbo lipo kwenye acidic media hivyo acid inapokutana na nyongo kule huweza kulipuka kwa kutoa gesi inayosababosha maumivu hayo
Punguza nyama nyekundu , vinywaji na vyakula vya viwandani hope umenielewa.
Mleta Mada usichukue huu ushauri hauna uhalisia kwa asilimia hata 60%
Unatumia godoro gani tuanzie hapa
[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]Mleta Mada usichukue huu ushauri hauna uhalisia kwa asilimia hata 60%
soma post kuanzia mwanzo utaona mchango wangu[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
Wa kwako ukoje sasa
Au unahofia bucha lako kudoda
Mkuu Kijoroo shukrani kwa maelezo na masahihisho yako!Nimeongea nae muda si mrefu... hospitali hawaku-specify na badala yake wameishia tu kusema kifuko cha nyongo.
Endapo hutajali, unaweza kunijuza wewe ulienda hospitali ipi ila nasi tukaombe Mungu huko huko?!
Wewe mtu hebu msikie alishapiga sonography na akapewa maelezo halisiUnaitaji work out Mkuu!
Mosi,Kuwa na Negative H.Pyroli haimaanishi kuwa hauwezi kuwa na Vidonda vya tumbo.
H.Pyroli anasababisha asilimia 90% na asimilia zinazo baki kuna visababishi vyake.
Upande wa juu wa tumbo kuna viungo vitatu na vyote huleta maumivu yanayoshabiana.
Viungo hivo ni Pancrea(Kongosho), Tumbo, Ini na kifuko cha nyongo(Gallbladder).
Yote haya yanaleta maumivu upande wa juu wa tumbo kwa sababu ndo viungo hivi vilipo.
Nakushauri upate hospitali ambayo wanaweza ku tafiti hayo maeneo.
Kwa kuanza tu je ushafanyiwa Ultrasound ya Ini na Mfuko wa Nyongo kipindi hiki ukiwa unaumwa?
Maana hicho kipimo kiko efficient kwa kiasi chake kama una shida maeneo hayo!