Hichi kicheko cha DC Polepole , ni cha kulazimisha ama!

Hichi kicheko cha DC Polepole , ni cha kulazimisha ama!

Ndakilawe

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Posts
4,815
Reaction score
2,832
IMGS8441.JPG

Bado natafakari, si kwa kicheko hicho
 
Siku moja ukim'bamba sehemu ukamuuliza, vipi hiki cheo cha ukuu wa wilaya bado unataka kifutwe ......anaweza kukupa bonge la ngumi.
 
kwani hujui kuwa sloslow ni mnafiki...amekubali cheo ambacho
kwenye katiba ya wananchi alikuwa anapigania kifutwe.

Kweli njaa mbaya...unaweza kula hata ulimi wako
Ndivyo hivyo Mkuu maana hata Lowassa na Kingunge kipindi wako CCM walipigania serikali mbili/

Leo wako UKAWA Wanataka serikali tatu.

Kwa mantiki hiyo wao wanajua tayari wanachotafuta - MASLAHI. Ila wewe hujiu

Niyi ndio huwa mnauliwa kama kina mawazo na kuwaacha Mbowe wanakula bata na mademu wao Dubai.
 
huyo dogo ccm walimtukana tusi kubwa sana. kwa kumpa kitu kitu ambacho alikuwa na kikataa. na huyo dogo vyenyewe hana akili na yeye akakichukua.
inamaana huyo dogo angekuwa vitani angekuwa ameisha zamani sana.
 
kwani hujui kuwa sloslow ni mnafiki...amekubali cheo ambacho
kwenye katiba ya wananchi alikuwa anapigania kifutwe.

Kweli njaa mbaya...unaweza kula hata ulimi wako
Slow slow nimecheka sana anatumikia nafsi aliyosema haina maana wakati hajapewa alipopewa ndio sasa kujichekesha kama kajiunga kifurushi cha Cheka
1480306376278.png
 
Back
Top Bottom