Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 9,901 Reaction score 15,941 Jul 24, 2022 #1 Yani kanipikia chakula kitamu hivi kinoma ili kunionyeshea tu, anamakusudi sana huyu dada na anajua kabisa niko single. Yaani na kanipakulia kiasi sawa na njaa yangu kabisa nikamaliza nimeshiba vizuri navyopenda ππ
Yani kanipikia chakula kitamu hivi kinoma ili kunionyeshea tu, anamakusudi sana huyu dada na anajua kabisa niko single. Yaani na kanipakulia kiasi sawa na njaa yangu kabisa nikamaliza nimeshiba vizuri navyopenda ππ
Chupayamaji JF-Expert Member Joined Sep 19, 2017 Posts 5,780 Reaction score 13,696 Jul 24, 2022 #2 Kokojowe ulale.
fullcup JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 809 Reaction score 2,216 Jul 24, 2022 #3 Lala Kesho uwahi shuleni
Oppo A17k JF-Expert Member Joined Apr 1, 2020 Posts 997 Reaction score 3,018 Jul 24, 2022 #4 Natamani hata vyuo vifunguliwe kesho mrudi mlikotoka
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,391 Reaction score 59,148 Jul 25, 2022 #7 ππ