Profesa wa Maliasili JF-Expert Member Joined Feb 10, 2018 Posts 632 Reaction score 1,935 Jan 20, 2019 #1 Bajeti yangu ni million saba na nusu kwa mwenye nayo au aliye na taarifa kama ipo sehem unijulishe. Sent using Jamii Forums mobile app
Bajeti yangu ni million saba na nusu kwa mwenye nayo au aliye na taarifa kama ipo sehem unijulishe. Sent using Jamii Forums mobile app
K kunguru2016 JF-Expert Member Joined Aug 4, 2016 Posts 299 Reaction score 245 Jan 20, 2019 #2 Nenda temeke mwisho pale kama unaingia msikitini ukiangalia mkono wako wa kulia kuna Hiace nyingi zinafufuliwa pale, utachagua inayokidhi utanunua. Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda temeke mwisho pale kama unaingia msikitini ukiangalia mkono wako wa kulia kuna Hiace nyingi zinafufuliwa pale, utachagua inayokidhi utanunua. Sent using Jamii Forums mobile app