HI

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
449
Reaction score
140
Mungu anatuwazia yaliyo mema,ametuleta duniani kwa makusudi na si kwa hasara
(( jitambue sasa ndugu yangu isikilize sauti ya Mungu )) acha kuhangaiishwa na wanadamu wasio jua nini kitatokea sekunde moja ijayo.(( bila nguvu za Mungu hatuwezi kwenda.ametuchagua kabla hatuja zaliwa na kwa mkono wake anatubaliki.)))uwe na amani ya Bwana ndungu yangu.
 
amen mtoa mada Mungu alie hai akubariki sana maneno yako yamenipa nguvu ni dakika chache 2 nlikua natoa machozi kwa sababu ya jambo fulani lakini ashkuliwe Roho mtakatifu kwa kukuongoza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…