Hi

Eliezar Mlwafu

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
449
Reaction score
140
"Bwana Mungu,nimetenda dhambi ktk mawazo,maneno na matendo.Naamini kwamba Yesu alikufa msalabani kwa ajili yangu.Namwamini sasa kama Bwana na Mwokozi wa maisha yangu.Nisamehe dhambi zangu zote nilizo zitenda na uniponye magonjwa na shida zote zinazo niandama.nifanye kuwa kiumbe kipya na mtoto wako sawa sawa na Neno lako ((wakolontho 5:17)) Tuma roho wako Mtakatifu aishi ndani yangu sasa na anipe nguvu ya kuishinda dhambi na kukufuata wewe mpaka mwisho wa maisha yangu.Ameni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…