Kwa hiyo unataka kumuowa mke wako...???!!!Hahahahaaaaaaaaaa watu waswahili humu OK I mean natafta mke wa kuoa mpo hapo? So naombeni msaada wenu maana ninaokutana nao wafwata maslahi tu
Kwani hii tetesi ya kwamba unatafuta mwanamke wa kumuowa umeisikia wapi..??Hahahahaaaaaa natafta nwanamke wa kumuoa sawa wakuu
Nabadili kauli natafta mwanamke wa kuoa
Awe na umri usiozifi miaka 27 awe mweupe asiwe asiwe mnene sana wala mwwmbamba sana pia awe na hofu na mungu
Nina miaka 28 naish arusha nafanya Kazi picha Yang ndio hyo
kiswahili ngumuuuuuuuuUnatafuta mke wa kuoa??sijaelewa au unamaanisha mwanamke ambaye tayari ni mke ili na wewe uoe?
Natafta mke
Hahahahaaaaaaaaaa watu waswahili humu OK I mean natafta mke wa kuoa mpo hapo? So naombeni msaada wenu maana ninaokutana nao wafwata maslahi tu
Hahahahaaaaaa natafta nwanamke wa kumuoa sawa wakuu
Nabadili kauli natafta mwanamke wa kuoa
Awe na umri usiozifi miaka 27 awe mweupe asiwe asiwe mnene sana wala mwwmbamba sana pia awe na hofu na mungu
Mwanamke ambaye hajaolewa nimuoe mm
We we unavigezo gani
We we unavigezo gani
Nimpole na Nina maisha ya kawaida kimwonekano utanipa mwongozo nikutumie picha zaidi