Hi

ingewezekana iwapo usingeitoa screen protector kwa kioo.. Vingnevyo isasambue yote,nunua motherboard mupya kwa buku 25 au 20.. Then..
Cheers.
 
Unaweza badili kioo na sio kuondoa scratches, unless uirudishe kiwandani. Ikiwa scratch ni kubwa mno na simu ni yenye thamani basi chungulia kwenye ebay (ikiwa mtumiaji wa ebay) Uwe makini maana kuna za "kichina" nyingi tu. Na ukiwa mtundu unaweza kuangalia kwenye youtube jinsi ya kuibadili kioo simu yako, la sivyo mpelekee fundi ale pesa yako na wewe ufurahike tena na simu yako.

Kama simu haina thamani kubwa au kioo hakikuchunika sana basi ushauri wangu "komaa nayo tu".

Somo: tumia screen protector.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…