Mlinzi wa kwanza kabisa wa mali yangu ni mimi mwenyewe!
my dear leo mapema sana niko hapo aise wala usiwe na wasi wasi sweetlady
copy to Mungi, Vin Diesel na Erickb52
hivi kumbe huwa ni lililililili mie nizani lulululu au leleleleleeee huwa siwasikiagi vizuri mkianzaga hizo mishe hasa mnapo pokea harusi.
Baba V habari zako banaLeo kweli lazima uwahi si umemshindia mtu!??
Hii stori ya "Adam akamjua mkewe nae akapata mimba...." haijanitokea kwa yeyote humu zaidi ya wife! Wala usishangae maana huyo ndio hawezi kabisa kunijua! Mpango wetu vipi jamani?
Haya wee....Mwanaume mjinga ataivunja ndoa yake,kwa mikono yake....ye mwenyeweeee......
Ni hivi mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake mwenyewe bali aliye mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe
Biblia inasema mwanamke mjinga.....ila jamaa kwenye bongo fleva akaamua kuongezea na wanaume.... I am trying hard kujenga hii nyumba yangu na Filipo ila kuna muda naona anataka kuivunja kwa uzembe....
Mi nahisi weekend hii haita fika biashara itakuwa imeisha
Ni upepo tu, utapita
Hahahaaaaaaaaaa kumbe bado unamlindaga................. mie mke wangu Lily Flower anajilinda mwenyewe
Sasa unashindwa kumfungia power track we namna gani braza? mi Lily Flower nimemfungia hiyo kitu kwahiyo namwangalia tu kwenye skrin ya simu yangu tu in every step! Hata beki tatu wetu sweetlady tumemfungia power track
Mi nahisi weekend hii haita fika biashara itakuwa imeisha