Hi!

Geno

Member
Joined
May 30, 2012
Posts
10
Reaction score
2
Helo wana Jf. Naomba tujadili hili swala la baadhi ya watendaji wa serikali kusimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi. Then tume inaundwa inalipwa mamilion ya fedha at the tume inaleta majibu kuwa sio mafisadi then wanarudishwa kazini.
 
huku hutapata majibu ya swali lako...nenda mlango wa tatu hauna mlango unaitwa jukwaa la siasa
 
huku hutapata majibu ya swali lako...nenda mlango wa tatu hauna mlango unaitwa jukwaa la siasa

Heri umemwambia watu8, kwani sie stress tunataka!!?
 
Last edited by a moderator:
Helo wana Jf. Naomba tujadili hili swala la baadhi ya watendaji wa serikali kusimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi. Then tume inaundwa inalipwa mamilion ya fedha at the tume inaleta majibu kuwa sio mafisadi then wanarudishwa kazini.
wala usipate tabu,hiyo ni project kwa hisani ya JK.
haka ni kambinu kengine ka mawazili wa JK kujipatia fedha kwa njia nusu haramu,nusu harali
Wakati ndio sasa wa kuwazoomea popote wanapohutubia,ikishindikana tunawatumia polis Jamii,ikishindikana tena tuna wamwangosi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…