Hi

Hi

Dignah

Member
Joined
Jan 26, 2022
Posts
70
Reaction score
95
Habarini wana JF, Poleni na majukumu.
1. Natoa huduma ya kuandaa Deed Poll( Change of names) Kubadilisha majina yaliyopo kwenye vyeti kama yamekosewa

Cheti cha kuzaliwa
Cheti cha NIDA
Vyeti vya shule
Gharama zake ni 150,000 vinakuwa attested na Mwanasheria na kuwa verified kwa Register ( Msajili)

2. Pia napiga Copy ya vyeti muhuri ( Certify) Bei ni nafuu kwa idadi ya vyeti vyote ulivyo navyo, ila visizidi vyeti 10.

0747131430 Call au Whatsapp
 
1748956604440.png
 
Back
Top Bottom