Hi

Hi

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,341
Hi, vipi? Mbona Kimya kama J. Mo? Au uko Bize kama Jafary, au ni Mapozi kama Mr. Blu? Ama ni Mawazo kama J. Dee? Ni Beeb back basi kama Mike Tee, ili nipate kujua Uhali Gani kama Q-chif, au mpaka nikuBembeleze kama Marlaw? Au Haiwezekani kama Kassim. Poa mi nakupa Hi 2 kama Dully Sykes. Najua ukisoma hii msg utaTabasamu kama Blu, basi huo ndoMtazamo Wangu kama Afande Sele. Acha Nikuage Kwaheri kama Jua Kali.............
 
Mkuu toa single kabisa mwana,ila sijajua kama ni mbana pua au wa michano
 
Au unamawazo kama Diamond>>japo ulisema hakunaga kama Suma lee
 
daah! Kumbe nymbo nazo unaweza kunganisha zkatoka kitu hv saf
 
Ahsante kwa kuutaja wimbo wangu,
umeniwezesha kujenga
 
Dah!ebwanaeeeeeeeee,chalii we ni nouma kwa brainstorming.
 
we ni kinega kama sugu, zumbukuku ka sikinde, una rangi ya chungwa kama nyenyembe, unamkonyeza shemeji ukizima taa na kutoa milio ka kasuku wa shabaan dede, unajisifia uanaume na mateso kama OTTU huku ukichechemea kama hussein jumbe, we ni choko kama choka na masaburi kama shilole
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom