I IBETE New Member Sep 10, 2011 3 2 Sep 22, 2011 #1 Hi? Wanajf... Habari zenu jamani...! Naamini mpo poa sana hapa jamvini. Nafurahi kuwa sehemu ya "team" hii katika kujenga taifa letu.... I like the great thinkers!
Hi? Wanajf... Habari zenu jamani...! Naamini mpo poa sana hapa jamvini. Nafurahi kuwa sehemu ya "team" hii katika kujenga taifa letu.... I like the great thinkers!
Washawasha JF-Expert Member Aug 7, 2006 16,652 13,077 Sep 22, 2011 #6 karibu ukaribie upewe kiti ukalie na kitako utulie
Leonard Robert JF-Expert Member Apr 22, 2011 11,064 7,196 Sep 22, 2011 #7 Karibu nani alikushauri kuja huku?,aliyekushauri ni kichwa kinoma.