hi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hi

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Mudiinho, Aug 20, 2011.

 1. M

  Mudiinho New Member

  #1
  Aug 20, 2011
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asanteni sana wadau kwa msaada wenu
   
 2. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Msaada gani mkuu? Umepata kazi? Fafanua
   
 3. M

  MWENDAKULIMA JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2011
  Joined: Jul 17, 2009
  Messages: 961
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Mkuu post yako inafikirisha kuliko maelezo. Mwanzo kwanza unasema tu "hi",hapo peke yake mtu anaanza kujiuliza jamaa ni member mpya?jamaa amepost request fulani ya kuomba msaada kwa hiyo kaanza na salamu? na maswali mengine mengi. Ukiifungua sasa ndo unakutana na just a line of thank you. Fafanua kidogo mkuu,hapa JF members wanaosaidiwa ni wengi hivyo hakuna atakayejua shukrani zako ni kwa ajili gani? Ni mtazamo tu lakini
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Aug 21, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  msaada upi tena huo....
   
 5. mshamu

  mshamu JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  du kweli hapo inabidi tuseme asante!
   
Loading...