Ban ni adhabu unayo pewa baada ya kuvunja kanuni za jf. pitia kanuni za jf kwanza kabla ya kuandika chochote. Unaweza kufungiwa maisha kuingia jf kama umevunja kanuni. baadhi ya mambo ambayo unabidi ujiepushe nayo ni;
:Lugha za matusi
:Kutoa habari za uongo.
:Kugombanisha jamii.
:habari za uchochezi.
:kumvunjia heshima member mwenzio
:kutoa hadharani maongezi ya private message n.k.
KARIBU SANA.