G gonjasame Member Joined Oct 3, 2022 Posts 14 Reaction score 29 May 14, 2023 #1 Hi wadau naombeni solution WhatsApp yangu imefungwa
Dr Matola PhD Platinum Member Joined Oct 18, 2010 Posts 61,430 Reaction score 108,589 May 15, 2023 #2 gonjasame said: Hi wadau naombeni solution WhatsApp yangu imefungwa View attachment 2622181 Click to expand... Uninstall, then install WhatsApp ya kawaida.
gonjasame said: Hi wadau naombeni solution WhatsApp yangu imefungwa View attachment 2622181 Click to expand... Uninstall, then install WhatsApp ya kawaida.
G gonjasame Member Joined Oct 3, 2022 Posts 14 Reaction score 29 May 15, 2023 Thread starter #3 Bado inakataa tu boss wangu
THK DJAYZZ JF-Expert Member Joined Sep 14, 2011 Posts 2,166 Reaction score 175 May 15, 2023 #4 Hata mimi nishawahi kukumbwa na tatizo kama hilo ila nili unstall mara kadhaa ikawa inagoma, nikaamua kuiacha kwa muda wa mwezi mmoja ikaja kukubali.
Hata mimi nishawahi kukumbwa na tatizo kama hilo ila nili unstall mara kadhaa ikawa inagoma, nikaamua kuiacha kwa muda wa mwezi mmoja ikaja kukubali.