HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,323 Reaction score 103,594 Jun 11, 2013 #21 Saa ingine ili ufanikiwe yahitaji mtu ataekutia hasira, kukurudisha nyuma ili ufanye juu chini umuoneshe kuwa waweza
Saa ingine ili ufanikiwe yahitaji mtu ataekutia hasira, kukurudisha nyuma ili ufanye juu chini umuoneshe kuwa waweza
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Jun 11, 2013 #22 HOPECOMFORT said: Kuna aliona nimemzidi kwa hili !! Duh imempa shida sanla mpaka amejikuta akinifumbia eti yeye kazidiwa kielimu hata kuvaa pia? Eti na hao waloenda shule mbona hata kuvaa hawajui. Ubinadamu mgumu Click to expand... Duuh sio wote hawajui kuvaa bana anyways kama yeye mjuzi wa mavazi ndo uwezo wa fikra zake ulipofikia....sitomlaumu
HOPECOMFORT said: Kuna aliona nimemzidi kwa hili !! Duh imempa shida sanla mpaka amejikuta akinifumbia eti yeye kazidiwa kielimu hata kuvaa pia? Eti na hao waloenda shule mbona hata kuvaa hawajui. Ubinadamu mgumu Click to expand... Duuh sio wote hawajui kuvaa bana anyways kama yeye mjuzi wa mavazi ndo uwezo wa fikra zake ulipofikia....sitomlaumu