Hi mitandao yetu Vipi?

ELNIN0

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2009
Posts
4,205
Reaction score
1,576
Wakubwa,

Sasa hivi nimepata sms toka sehemu nisiyojua imejiandika CCM ajaribu kuangalia sorce yake ilikotoka sipati number ujumbe umeandikwa hivi " Vyama vya siasa vilivyoandikishwa Tanzania ni 18 lakini hakuna hata cha kimoja ukiviweka kwenye mizani vitafikia CCM, Chagua CCM chagua KIKWETE" Sender CCM


Najiuliza hivi hawa ma operator wa mitandao yetu wameshajiingiza kwenye kampeni? Je tume ya Mawasiliano inachukua hatua gani? Juzi tukaambiwa tumekuwa tukichangia 10% kwenye CCM bila sisi kujujua.

Naanza kukosa imani na hii mitandao yetu, ni matawi ya CCM haya.
 
Hapo kwenye redi. huenda yawezekana kwa ufisadi na rushwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…