Bandabichi
JF-Expert Member
- Jun 3, 2012
- 230
- 42
Habari wana jamvi, Hongereni kwa shughughuli za kujenga taifa.
Mapenzi upofu,
Kwa wale madereva ukiwa barabarani na kama kuna hatari mbele lazima dereva aliye mbele atakupa ishara kwa kukuwashia taa akimanisha kuwa uendako kuna hatari,
Ama ukiwa kwenye makutano ya barabara kuna taa za kuongozea magari ,
Ambapo;
1- rangi ya njano simama subili maelekezo
2-rangi ya kijani unaweza kwenda kama ni salama.
3- rangi nyekundu hakuna ruhusa kuendelea na safari.
Haya mambo yanatokea kama ishara kwenye mahusiano, ni kwa nini watu huwa hawawezi kutambua ishara hizi pindi zikijitokeza.