Binafsi sikujui, inakuwaje unanijuisha kwa kuandika 'I miss you all'. Ukiingia JF lazima ujifunze kuwa precise na accurate. Sio kuandika andika tu lolote ilmradi uonekane umepost.
Kwa haya machache nasema karibu ila uache kuongopa. Huwezi kumiss watu usiowajua.