Hi jf members????

I miss u all


Binafsi sikujui, inakuwaje unanijuisha kwa kuandika 'I miss you all'. Ukiingia JF lazima ujifunze kuwa precise na accurate. Sio kuandika andika tu lolote ilmradi uonekane umepost.

Kwa haya machache nasema karibu ila uache kuongopa. Huwezi kumiss watu usiowajua.
 
Jina lake tayari lishampatia nuksi
hahahaha

Huyu asije akawa member aliyejiunga upya kwa nick nyingine maana huu ushabiki mwingine mhhh!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom