Hi imekaa je? Je ni wasomi wanaitwa watoto? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hi imekaa je? Je ni wasomi wanaitwa watoto?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mboja, Jul 3, 2011.

 1. M

  Mboja Senior Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 158
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mwenyekiti huyo wa Jukwaa la Katiba alisema mchakato wa utoaji wa maoni ndio msingi wa kupata katiba bora hivyo ni vema michakato hiyo ifanyike kwa amani, usalama na utulivu ili kuepuka yaliyotokea awali hata kusababisha baadhi ya vyama kujaza watoto wadogo katika ukusanyaji wa maoni ya Katiba mpya.

  Wana Jf nina swali. Huyu jamaa anapo sema hivi, anamaanisha watoto wadogo ni wasomi wa vyuo vikuu? Na kama ndio maana yake tutafika kweli kwenye kuunda katiba inayo kidhi haja ya wa Tanzania wote? (Vijana ndio nguvu kazi ya Taifa!) Wazee wanalijua hilo?
   
 2. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu ulikuwa wapi kwani wewe hukuwaona wale watoto wa chekechea na praimari waliopelekwa Karimjee afajiri ya siku ileee!!
   
 3. M

  Mboja Senior Member

  #3
  Jul 3, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 158
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nao pia ni wa Tanzania, Ni chama gani kilipeleka watoto? Maana ccm ndio mahodari kukusanya watoto kwenye mikutano yao? Labda na hapo pia.
   
Loading...