Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 2,005
- Thread starter
- #21
OkKuwa mwaminifu wewe
OkKuwa mwaminifu wewe
Hakufaa wala hatafaa. unauwa nyoka unaacha mama na mazalia ya nyoka ndani hii ni akili au matope?. haohao wameibuka tena baada ya yeye kufa. kwa nini asingeacha mfumo mzuri wa kisheria wa kuwabana hasa katiba?.Tunaelekea kufungua nchi kiuchumi!
Magufuli ni dikteta au umesahau ambavyo mlimkandia mkuu[emoji28]??? Dikteta aliyenyoosha washenzi mkamuona katili anaminya haki za watu! Pambaneni na wenye nchi sasa maana wanasema imerudi kwa wenyewe sasa[emoji28]
Mbona iyo million 30 per day ni kidogo tu. Nikuambie naingiza ngapi kwa siku? Niweke humu hadharani? Ngoja nikupotezee tu usije ukashikwa na panic attack bure ikapelekea cardiac arrest wakati wewe kwenye ukoo wenu ni mshindi pekee wa mkate (sole bread winner).Labda wewe ila sio wote
Ukilala njaa wewe usidhan kila mtu nae atalala njaaa
Endelea kilia lia ila kuna watu wanaingiza 30M per day jiulize wewe unayemlalamikia Rais una nini na unaingiza shingapi kwa siku
Tatizo watanzania tunalalamika mno hakuna zuri mtakalo sifia yote ni mabaya tu ndo maana hata Mungu atubariki too much kulalamika
Peleka ujinga hukoMbona iyo million 30 per day ni kidogo tu. Nikuambie naingiza ngapi kwa siku? Niweke humu hadharani? Ngoja nikupotezee tu usije ukashikwa na panic attack bure ikapelekea cardiac arrest wakati wewe kwenye ukoo wenu ni mshindi pekee wa mkate (sole bread winner).
Tayari nimeshakuwin kisaikolojia na ndio hicho nilichotaka na kusumbuka kutafutaPeleka ujinga huko